Description
Tunaandaa bytes mbalimbali kwa ajili ya sherehe kubwa na ndogo na kwa matumizi ya nyumbani mfano:- Sambusa, Bagia, Kachori, Mandazi, Ndizi Chapati, n.k kulingana na uhitaji wa mteja. Lakini pia tunapika chakula cha sherehe na mikutano mbalimbali chakula cha aina zote kwa bei nafuu sana.