Description
Nuuza bites Aina zote km vile visheti,donats,shortcake, cookies,karanga za mayai na za kukaanga pia nauza Unga lishe mtamu sana wa uji lkn pia natengeneza keki nzuri sana za sherehe km birthday na sherehe bei ya keki ni kuanzia elfu 20. Karibu