Description
Tunaprint kazi za aina zote, banners za 2D na 3D , mabango makubwa (billboards) ,T-shirts, logo na lebels za bidhaa mbalimbali mbalimbali kwenye vifungashio, vitabu size zote, mihuri ya kisasa, kila aina ya kazi ya printing tunafanya, Tuna uzoefu wa zaidi ya miaka 20 katika sector hii ya printing karibu tukuhudumie.