Description
Mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti na diploma Ualimu wa English Medium Pry School sifa za kujiunga pass(D) 4 matokeo ya form 4. Ualimu wa Grade A (shule za msingi serekali) sifa za kujiunga ni Div 3 matokeo ya form 4. Ualimu sekondari sifa za kujiunga angalau principle pass 2 na subsidiary 1 matokeo ya form 6. Chuo kinasajili wanachuo mwezi wa March, July na September kila mwaka.