Description
Tunatoa mafunzo ya Veta kuanzia level 1 mpaka level 3 kwenye kozi za: Tour guide Electricity ICT Ada zetu ni nafuu na zinalipwa kwa awamu 4 hostel bure. Mafunzo ya lugha za kigeni kifaransa, English, Hispania na kijerumani. Mafunzo kwa vitendo yanazingatiwa kwa kiwango cha juu karibu sana kwa Elimu Bora itakayo kuandaa kuajiriwa na kujiajiri pia.